Tunayo stori kutokea kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Wazalendo Kwanza, Steve Nyerereambapo amewaongoza wasanii kuingia mikataba ya kupewa viwanja maeneo ya Kigamboni, Dar es Salaam.
Steve Nyerere ambaye pia ni msanii wa maigizo, amefunguka na kusema kuwa waliahidiwa na taasisi mbalimbali kupatiwa viwanja lakini mwisho wa siku hawapati, hali ambayo imekuwa ikiibua vilio kwa wasanii
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni