Tamasha la Met Gala Marekani, mastaa waonyesha mavazi yao, Lupita Nyong’o aiwakilisha vyema Afrika mashariki
Tamasha la Met Gala, tukio lenye faida kwa Taasisi ya mavazi –Costume Institute at the Metropolitan Museum ya Art in New York, hutajwa kama moja ya tukio kubwa kabisha duniani la fasheni.
Linafahamika kwa orodha yake ya majina ya wageni maarufu wanaoalikwa , kushiriki ni gharama kubwa na zaidi ya yote nguo zinazovaliwa ni za ghali mno kulingana na mada ya mwaka.
Kwa mujibu wa BBC. Mwaka huu, mada hiyo ilikuwa ni Camp: Waraka kuhusu mitindo ya mavazi – inayoendana na onyesho lijalo katika katika Met, picha zilipigwa kwa kuzingatia inshailiyoandikwa na mpigapicha Susan Sontag mwaka 1964 iliyofahamika kama – Notes on Camp.
Hivyo basi Mavazi ya mwaka huu , sawa na onyesho yatazingatia “iujasiri, uchekeshaji , mtindo wa uandishi wenye vichekesh vya vibonzo , sanaa ya mtu mwenye kuigiza utunzi wa mwtu mwingine , kitu ambacho si halisi, maigizo na kuonyesha mambo kwa mtindo wa kupita kiasi “.
Na kumuonyesha kila mshiriki jinsi mambo yanavyopaswa kufanyika mwanzo kabisa alikuwa ni muimbaji Lady Gaga, aliyewasili akiwa ametinga gauni la rangi ya waridi linalopeperuka haikuonekana hivyo alipoingia.
Haki miliki ya pichaAFPImage captionLady Gaga, mmoja wa washereheshaji wa tukio ,akiwasili akiwa ametinga gauni lake la rangi ya waridi linalopepeaHaki miliki ya pichaAFPImage captionAmbalo lilifungua kufichuliwa kwa gauni jeusi, vazi lake la pili …Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionAmbalo pia lilifuatiwa na vazi la tatu la waridi iliyokolea lililoubana mwili wakeHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage caption…Ambayo aliitoa kuonyesha vazi lake la mwishoHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionSerena Williams, ambaye alikuwa mshereheshaji mwenza, aliwasili katika vazi hili la rangi ya manjano lenye maua lililoshabihiana na raba zamazowezi za NikeHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNi kwanini uvae kofia moja, unaweza kuvaa nne kama Janelle MonaeHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionMchezaji Filamu wa Kenya Lupita Nyong’o akitabasamu mbele ya kameraHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMchezaji filamu Michael Urie aliamua kuwa na mionekano miwili kwa wakati mmojaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionWakati huo huo muigizaji filamu Ezra Miller, alionyesha sanaa ya vipodozi ya aina yake iliyowashangaza wengi
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionFamilia inayoonyesha maisha yake halisi kwenye TV ya Kardashiansiliingia kwa kishindo kwenye tamasha la mwaka huuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionHawa ni wanandoa wapyaPriyanka Chopra na Nick Jonas, ambao wanasemekana kuwa mara ya kwanza walikutana kwenye tukio kama hili la Met Gala mnamo 2017Haki miliki ya pichaAFPImage captionWalifuatiwa kwenye zullia jekundu na kaka mkubwa wa Nick Joe na mkewe mpya, ambaye ni nyota wa filamu ya Game of Thrones Sophie TurnerHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMchezji filamu nyota katika Bollywood Deepika Padukone ”alitokelezea” na gauni hili la mtindo wa Barbie la rangi ya waridiHaki miliki ya pichaAFPImage captionLaverne Cox aliingia ukumbini na gauni jeusi la hariri na vipodozi vilivyokolezwaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionMshereheshaji wa tatu ni Harry Styles, ambaye alivalia vazi hili jeusi lenye suruari inayopandishwa juu
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionAlessandro Michele, jumba la fasheni la Gucci alitinga namna hiiImage captionMuimbaji Billy Porter aliingia na kufungua mabawa yake mbele ya umati uliohudhuria tamashaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionmmilikiwa wa ukumbi wa maigizo Jordan Roth alijigeuza ghafla kuwa jumba la maigizoHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionCeline Dion, ambaye tunaweza kusema ni malkia halisi wa ‘camp’, hakuwakatisha tamaa waliomuona kwa vazi hiliHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMchezaji filamu Jared Leto wazi alidhihirisha kuwa vichwa viwili ni bora kuliko kimojaHaki miliki ya pichaAFPImage captionHuku mchezaji filamu Yara Shahidi akitoka na vazi hili la manyoya…
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni